Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usinikumbusage Ifunda kibaoni mwe mwe mwe! Tulikuaga tunaenda lyandembela kula mikusu na wale waliojaliwa walikamata ulanzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mikusu au masuku? Ulanzi mtamu sana, wanafunzi wa kigeni waliosoma/wanaosoma mkoani kwetu wengi wao wanatupia sana ulanzi af sasa sio ke wala me.

Ulanzi mtamu bhana,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Screenshot_20211205-013359_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom