Eizyek
JF-Expert Member
- Aug 12, 2019
- 800
- 2,776
Nakwambia hawa tunawafunga
Subiri tukapumzike uone show yetu.
Ila yemtukosa majinga haya.
Hadi nimesweat

mnachana mikeka vijana washanza kuliaNakwambia hawa tunawafunga
Subiri tukapumzike uone show yetu.
Ila yemtukosa majinga haya.
Hadi nimesweat

mnachana mikeka vijana washanza kuliaSubiri turudimnachana mikeka vijana washanza kulia
Mkurugenzi na were una cha kufutia simuView attachment 2032826Salamu zenu wajomba😎
😅hicho muhimu ukiwa bro!Mkurugenzi na were una cha kufutia simu

Wamama? Kwani umenizaa tena Mzazi? Hata maumivu bado sijapona vizuri umenizaa?
View attachment 2032348
Nipo na kikosi chako hapa...mkono unanipa ushauri
Kumbe na kwenye smoothie umo? Nikafikiri we ni mzee wa cappuccino tu?Mambo yangu haya, ni mwendo wa vitu vitamu vitamuView attachment 2032773
Subiri watoto walale nitaweka mida mibayaUko vyema.
Hebu ongeza nyingine.
Anayo kumbe!
Ngoja nikamuombe


Aaa watoto wadigitali hawa wanataka kunyolewa wanavotaka wao
SawaSubiri watoto walale nitaweka mida mibaya
🤣🤣🤣Njoo uichukue
😁😁😁😁 eeeh! bwana sie wengine hatupigi hizo zenu za wakubwaaaKumbe na kwenye smoothie umo? Nikafikiri we ni mzee wa cappuccino tu?
Hutaki au?
Wewe unipe picha?