Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Mkuu natumia bundle la UN linasumbua kweli yaani alafu wanatupunja kweli 😁😁😁Zileteeee zileteeee..umenirahisishia sana. Kama una na hizi please fanya wepesi hapaView attachment 2033054
Nzuri sana nimefurahi kwakweli!!
Unanipoteza eeh 🤣Kwanini uache labda, life is too short darling so let's enjoy the moment.
Naona weekend iko njema pande hiyo...
Kesho nikiwa safarini nitatulia nikitumie nyingi zaidi na zingine zangu 😁😁😁😁Nzuri sana nimefurahi kwakweli!!
Ok ingewezekana ningekufanyia wepesi wa bando ila no problem unazitoa download /wapi?? Nipe maelekezo nizifuatw huko!Mkuu natumia bundle la UN linasumbua kweli yaani alafu wanatupunja kweli 😁😁😁
Sawa nashukuru sanaKesho nikiwa safarini nitatulia nikitumie nyingi zaidi na zingine zangu 😁😁😁😁
Mkuu hizi zipo kwenye device yangu kibao.. Unaweza niunganisha bundle hata kwa mawakala asee la buku tano tu.. nikupandishie GB nzimaOk ingewezekana ningekufanyia wepesi wa bando ila no problem unazitoa download /wapi?? Nipe maelekezo nizifuatw huko!
Nakuja nayo, vipi ulanzi hutaki?![]()
ngerenge mlongo
Nikifika kwa mawakala nawapa maelekezo gani??? Watakuungaje sasa??? Ok if possible will do that tomorrow nipe maelekezo tu!Mkuu hizi zipo kwenye device yangu kibao.. Unaweza niunganisha bundle hata kwa mawakala asee la buku tano tu.. nikupandishie GB nzima
He he he.. Ngoja nimuite kwa Ishara..Possibly. Em nitajie afu umtag na huyo mtu![]()

Hii Sehemu Ipo mji kasoro bahari.. Right?Possibly. Em nitajie afu umtag na huyo mtu![]()
Exactly.
Mambo Munalove😎Lenie Hii selfie ilinikumbusha kitu, nilicheka peke angu 🤣🤣 nakutumia tsap & I'm sure you'll notice sth ' ila usicheke usiku umeshakuwa mkubwa. View attachment 2033075
Nakutania mkuu, kesho nikianza tu safari mda wote nitao tumia safarini nitatumia kuzituma hapaNikifika kwa mawakala nawapa maelekezo gani??? Watakuungaje sasa??? Ok if possible will do that tomorrow nipe maelekezo tu!
SawaNakutania mkuu, kesho nikianza tu safari mda wote nitao tumia safarini nitatumia kuzituma hapa
Ahaaa usisahau sasa!! Asubuhi Nitakukumbusha hapaNakutania mkuu, kesho nikianza tu safari mda wote nitao tumia safarini nitatumia kuzituma hapa
Sawa mkuu..Ahaaa usisahau sasa!! Asubuhi Nitakukumbusha hapa