Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Kula hii ngoma ya kusifuNa za kusifu pia!!
Shukrani š
Kula hii ngoma ya kusifuNa za kusifu pia!!
Shukrani š
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee fanya masikhara ooh, kitaumana.Najizuia kula sometimes' ndiyo zoezi pekee ninaloliweza [emoji38]
2 na cha blue? Iko sikupi š[emoji23][emoji23][emoji23] nachukua hizo 2, afu usisahau kipusa pia,
Em nitumie nami nicheke, usiku wangu uwe mzuri.Lenie Hii selfie ilinikumbusha kitu, nilicheka peke angu š¤£š¤£ nakutumia tsap & I'm sure you'll notice sth ' ila usicheke usiku umeshakuwa mkubwa. View attachment 2033075
...Hutoka kwa Mungu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mke mwema!
[emoji7][emoji7][emoji7] ukirudi usisahau tende dea.
Watu wameshangilia leo tulivyopoteza...Wizo wee ni the blues? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kuamini et? Khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooh usinifanyie ivo bhana, unajua mie ndo mtetezi wako pindi brohz akizingua.2 na cha blue? Iko sikupi [emoji38]
Hahahaaa wala me nakwambia ukweli eti.Unanipoteza eeh š¤£
Still msimamo wa ligi upo kwenu, wala hakna shida. [emoji23][emoji23][emoji23]Watu wameshangilia leo tulivyopoteza...
Usicheke kupitiliza š¤£Em nitumie nami nicheke, usiku wangu uwe mzuri.
Pamoja na kuweka emoji but you still looking beautiful as alwaysš
Ulanzi na mahindi ya kuchoma mlongo Muda wake huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngerenge yene yayigoni mlongo, cha yikita kulyolyopa kwene,
Umenikumbusha mbali wee, ila home kwetu kuna pombe nyingi za asili,
Nimemiss ulanzi hapa, yaan nimeongea na bibi anantambishia ndo amegema leo yaan uko topu kwenye dumu. Natamani nipae hata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupoteza kufaana.Watu wameshangilia leo tulivyopoteza...
Ha ha nitafika 2022 nimechoka sana[emoji28][emoji28]
Mshashuka chini.Nipost msimamo? Najua unaujua pia
ššHahahaaa wala me nakwambia ukweli eti.
Em enjoy ila tu kunywa kistaarabu usiletee wengine fujoš
Unaujua mpira vizuri? Haunaga ramli š¤£Kupoteza kufaana.
Bado tutawang'oa na wenzenu mancity
Nafatilia vzuri kabisa.Mshashuka chini.
Wale wenzenu ni jambo la muda tu,wanashuka chini,sisi tutakuwa pale top
YNWA[emoji173][emoji91]
Nimecheka sana aki na nilikua nishasahauššUsicheke kupitiliza š¤£
Burifoo ya camera eeh