Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

#PrayerMountain#
#MaombiNiAkiba#

Tusisahau kusali wapendwa, especially wakati ambapo kuna amani na shwari kuu kwenye maisha yetu. Wakati wetu wa tabu na dhiki; hata nguvu za kufungua mdomo na kuomba wengi wetu huwa tunakosa. Akiba yetu ya maombi tuliyojiwekea, inatusaidia tunapokuwa dhaifu na kuishiwa nguvu. Methali 24:10 "Ukizimia siku ya taabu, nguvu zako ni chache"

WAKEPRAY SLAY.

Saint Anne niendelee na slaying time ama nisiendelee?View attachment 2032935View attachment 2032936View attachment 2032937View attachment 2032938

Mke mwema!
 
KARIBU
IMG_20211204_203149.jpg
 
Mdogo angu; acha tu.

Daah sasa nyie vivuruge wangu mkileft, mbona ntapooza sana? Ngoja nimalizie kunyoosha mapande sita yangu
Amen dada.

Somo hili ni zuri mno,,nilifundishwa mahala ila sikuweza kulielewa haraka.

Nilifanya kusali tu hivyohivyo ila kumbe yale maombi huwa ni potential kubwa.

Kuna wakati wa shida unafika,hata nguvu ya kusali Inapotea..ile akiba ndio huwa msaada.

Ubarikiwe kwa somo zuri...
Nadhani ile akiba yangu kuna mahala ilinivusha na bado naitumia,,,sasa ni muda wa kujenga tena akiba nyingine.

Wakati wote Mungu ni mwema.

Tuendelee na picha zako sasa ili nileft mazima

Tùendelee na Neno
 
Mdogo angu; acha tu.

Daah sasa nyie vivuruge wangu mkileft, mbona ntapooza sana? Ngoja nimalizie kunyoosha mapande sita yangu
Neema ya Mungu ni kubwa mno,
Angalau nimeanza kurudi kanisani,,nimeshatafuta sehemu nzuri ya kusali.
Binafsi nimekuelewa mno ulichokiandika..

Kazi yako ni njema
Tuendelee na somo,picha zako huwezi kuweka.
 
#PrayerMountain#
#MaombiNiAkiba#

Tusisahau kusali wapendwa, especially wakati ambapo kuna amani na shwari kuu kwenye maisha yetu. Wakati wetu wa tabu na dhiki; hata nguvu za kufungua mdomo na kuomba wengi wetu huwa tunakosa. Akiba yetu ya maombi tuliyojiwekea, inatusaidia tunapokuwa dhaifu na kuishiwa nguvu. Methali 24:10 "Ukizimia siku ya taabu, nguvu zako ni chache"

WAKEPRAY SLAY.

Saint Anne niendelee na slaying time ama nisiendelee?View attachment 2032935View attachment 2032936View attachment 2032937View attachment 2032938
Amen... Amen..

Hili eneo kama nalijua HS.. Natamani kumtag mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom