Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mikusu au masuku? Ulanzi mtamu sana, wanafunzi wa kigeni waliosoma/wanaosoma mkoani kwetu wengi wao wanatupia sana ulanzi af sasa sio ke wala me.

Ulanzi mtamu bhana,[emoji23][emoji23][emoji23]

Matunda flani matam kama sijasahau yaliitwa mikusu. Nashukuru ulanzi sikuwahi kuugusa.
 
Kwann leo unamkana mkuu..juzi nilikuambia mwanamke anachohitaji ni upendo wa dhati nawe ukanijibu unampenda sn,Kwa Hilo nisiwe na Shaka

Sasa Leo nn hiki Leo unaniambia 😁
Mkuu nipende mtu ili nigundue nini asee, nilikuwa nachangamsha tu. 100% ya comments zangu humu ili siku iende tu na sio real me au vitu harisi. Tuingie mzigoni kwa mdosi sasa
 
Back
Top Bottom