cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175




Had nmeogopa duuuh. Ila rock city pazuri nmepa mic tena
Wee unarud wapi?Yaani,upo wapi sasa,mie nipo dar kushangaa shangaa,next week narudi mkoani kwetu,
Mwanaume wa Kino yuko busy tiktok anadance challenge ya Love Nwantiti, saa ngapi atawajua rappers.
Kimsingi ni braza angu aliniambukiza miaka hiyosija'cease bado naendelea nazo.
Bro alikuwa ni zile type za wahuni smart, mpk leo dictionary, some books home zimejaa machata yake 'soldier Kaveli![]()




nmecheka had kupaliwa, hiyo paragraph ya mwanzo.Kumbe upo code za wale sket za marinda? Safi sanaChurch code![]()
Nipo mjin now nineingia jana.U wapi?
Kna dhehebu flan wao wanavaa sket za marinda tyuuh, jina silijui vzur, sjui UWATA au sjui EFATHA.ni kina nani hao?
DsmMjini ya wapi bana
Loc bas mlongo.OK...njoo uchukue chupa ukaninunulie soda kwa mangiView attachment 2002999
UWATA hao bila Shaka.Kna dhehebu flan wao wanavaa sket za marinda tyuuh, jina silijui vzur, sjui UWATA au sjuiEFATHA
Na bado mnaendelea kuzungukiapo?Sasa huyo mamba tu unaogopa?
Katika pitapita tulikuta chatu amembana mbwa, nilirekodi video ni kubwa siwezi share...
Yule mbwa ili kumuokoa ilibidi tuanze ku deal na chatu, later huyo jamaa akaja na panga akamchinja chatu... same day nikakutana na mamba.. hio place kuna kenge,chatu na mamba...
View attachment 2003003
Ingekuwa hivyo basi kusingekuwa na haja ya mtihani na elimu inakuwa Haina maana Tena.c wanachukua karatas, then mwanafunz aendlee na pepa tyuuh,
Punguza unoko 😂Ingekuwa hivyo basi kusingekuwa na haja na mtihani na elimu inakuwa Haina maana Tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha siyo lazima kila Mtu asome shule ya darasani inayohitaji kufanya mtihani..Wee cc hata Co ivo, tunatofautian uwezo kumbka hilo pia.