geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
haiwezi elezwa kwa maths au history/
half loss half victory
ile kauli sikuachi mpaka kifo ni kama sifa/
inasemwa na wengi ila wachache wanamaanisha
wale wapambe wa kujivika/
haiwezi elezwa kwa maths au history/
OAhaiwezi elezwa kwa maths au history/
half loss half victory
ile kauli sikuachi mpaka kifo ni kama sifa/
inasemwa na wengi ila wachache wanamaanisha
wale wapambe wa kujivika/
anakuambia
Ndoa inafungiwa kanisani/ msikitni na itafunguliwa mahakamani 😂anakuambia
ndoa inafungwa kwa sala na mizimu
ila inavunjwa kwa meseji moja ya simu
ndoa ni maisha baada ya kuchokana kingono.....Ndoa inafungiwa kanisani/ msikitni na itafunguliwa mahakamani![]()
Hahaha hii ni play, usidanganyike.i will marry when i want......![]()
Weeeee 🤔🤔ndoa ni maisha baada ya kuchokana kingono.....
mkifika hatua ile kaa vzuri niweke....then kimoko chaliWeeeee![]()





Ndio hizo ninazopanda ila kuna madereva ni wazembe,sijui hata waliwachukua wapi Yaani!Mwendo kasi upande express ndo utaona raha yake
Hatari sana WardaWacha weeeh,usiniambie
Juzi ijumaa nimepanda express Shekilango naenda kimara mwisho crdb. Ilikuwa bado dakika 18 bank wafunge jamaa ametembeza gari taratibu adi nikachelewa.Ndio hizo ninazopanda ila kuna madereva ni wazembe,sijui hata waliwachukua wapi Yaani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyamwezi mwenyewe.
Hiyo KIBURI yako itakucost nakwambiaga mie🤣🤣🤣How I wish nikutumie Ila ndio vile KIBURI iko kwa flow 😎😂😂
Mcute afu ni zile typoo 😎
Ila hii Love and its mystery nahitaji kwenda darasani kabisa kujifunza
tukioneMnyamwezi mwenyewe.
Naona leo nimetaka kufanana nae kidani cha shingoni.
Weka hio moja nzuriUnadhani makusudi basi; wengine sio photogenic. Upige picha 30, ndiyo upate moja nzuri ya kupost; basi tunajifanya picha sio hobby yetu. Wahitaji wengi wa wapi tena jamani?
Shusha hiyo shauku yako, ili usijekuwa disappointed sana![]()
Sijui hata wanawazaga nini na wakati barabara yao haina foleni.Juzi ijumaa nimepanda express Shekilango naenda kimara mwisho crdb. Ilikuwa bado dakika 18 bank wafunge jamaa ametembeza gari taratibu adi nikachelewa.