Nikiwa mkubwa nataka nyumbani kwangu kuwe kuzuri hivi mkuuUtajuaje kama umekua?
Utajuaje kama umeanza kuzeeka?
Kama badala ya kwenda viwanja kujirusha wikendi zako sasa zimegeuka na kuwa ni wakati wa kutunza mazingira ya gheto lako na kulima vibustani bustani vya uwongo na kweli. Cha muhimu tu ufurahie na uwe na ridhiko. Maisha menyewe ni haya haya hakuna mengine. Fanya kikupacho furaha ali mradi tu usivunje sheria (na hata kukera wengine). Be blessed
View attachment 2002572View attachment 2002573View attachment 2002574

.Yaani,upo wapi sasa,mie nipo dar kushangaa shangaa,next week narudi mkoani kwetu,
Leo nipo Arusha ,by jumatano nitakuwa nimerudi DarYaani,upo wapi sasa,mie nipo dar kushangaa shangaa,next week narudi mkoani kwetu,
Ni wimbo 😎
Ilipona 🤔 Glory to God.Utajuaje kama umekua?
Utajuaje kama umeanza kuzeeka?
Kama badala ya kwenda viwanja kujirusha wikendi zako sasa zimegeuka na kuwa ni wakati wa kutunza mazingira ya gheto lako na kulima vibustani bustani vya uwongo na kweli. Cha muhimu tu ufurahie na uwe na ridhiko. Maisha menyewe ni haya haya hakuna mengine. Fanya kikupacho furaha ali mradi tu usivunje sheria (na hata kukera wengine). Be blessed
View attachment 2002572View attachment 2002573View attachment 2002574
Wa kinondoni ndo hawatamjua dizasta,Ni wimbo
Unajua ukimzoea sana Joe boy na wenzie kina Kuami Eugine kuna nyimbo hutozijua![]()
The greatest rapper alive,, alikuwa bora sana alipoimba wimbo usio bora na hatia 1,2,3 na 4Ni wimbo
Unajua ukimzoea sana Joe boy na wenzie kina Kuami Eugine kuna nyimbo hutozijua![]()
AahThe greatest rapper alive,, alikuwa bora sana alipoimba wimbo usio bora na hatia 1,2,3 na 4
Nikipanda mwendo kasi napenda kusimama kuliko kukaa
😂😂😂 Mwanaume wa Kino yuko busy tiktok anadance challenge ya Love Nwantiti, saa ngapi atawajua rappers.Wa kinondoni ndo hawatamjua dizasta,
Ameshuka dar anamtafuta mjomba
Huwa napenda kumuita the dizasta vina
Kinachonishangz ni ww kuwa familiar na such songs
Napenda kusimama ila siyo gari ambayo dereva anaendesha mwendo wa konokono.Nikipanda mwendo kasi napenda kusimama kuliko kukaa
Mwendo kasi upande express ndo utaona raha yakeNapenda kusimama ila siyo gari ambayo dereva anaendesha mwendo wa konokono.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio dizasta anaitwa SONGAWa kinondoni ndo hawatamjua dizasta,
Ameshuka dar anamtafuta mjomba
Huwa napenda kumuita the dizasta vina
Kinachonishangz ni ww kuwa familiar na such songs
kubaaaaabekkkk.......Aah
Niambie ilianza vipi? Najua haikuanza ghafla..
Zipi dalili maana hata mafua uanza na chafya
Kivipi me kakako na ulishindwa kuniambia?
Ukafanya siri ina maana kimsingi nawe ulitaka
Hip-hop is the streets![]()
kumbuka tangu baba mzee mugu anakufa/Aah
Niambie ilianza vipi? Najua haikuanza ghafla..
Zipi dalili maana hata mafua uanza na chafya
Kivipi me kakako na ulishindwa kuniambia?
Ukafanya siri ina maana kimsingi nawe ulitaka
Hip-hop is the streets![]()
Usiku kaimba Songa, Dizasta ni mtu mwingine.sio dizasta anaitwa SONGA
eeeh twendeAah