


Kama nakuona vile...
Wanyama hawana shida haswa kama sio adui, au kuonyesha kuwadhuru kuna kisa kimoja tulikwenda hifadhi ya wanyama, back in days kuna jamaa flani alishuka toka kwenye gari kwenda kukojoa, katoka nje mpaka kichakani, bi mkubwa wangu akaona mnyama kwenye hiko kichaka, akawaambia waliokuwepo garini jamaa anapopunguzia mafuta kuna mnyama, yule guide kucheki fresh aka confirm ni mzee simba...
Duh jamaa akasema kaeni kimya kabisa muacheni akojoe amalize aingie garini, mkipiga kelele ni hatari mno...
Jamaa akakojoa weeee kwa starehe, si unajua mkojo uliokubana muda mrefu unapopata muda kuuachia


Jamaa akarudi garini akafungua mlango akaketi, wakamuonyesha kwenye kile kichaka kulikua na mzee lion amepumzika




..
Jamaa ni kama alipigwa shoti msemo wako..
Nilikuwa chalii back in days, siwezi kusahau hiko kisa, ungekuwa ni wewe i think ungezirai kwenye gari

Nb:sio chai