Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

#Blessed Sunday[emoji3590]
IMG_20211107_144307_3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vile tu unafanyaga kama huelewi uzi unataka nini...
Na pia unajua fika wahitaji ni wengi.. Na unajua kubana haswa [emoji23]

Sielewi kwanini napata shauku...
Unadhani makusudi basi; wengine sio photogenic. Upige picha 30, ndiyo upate moja nzuri ya kupost; basi tunajifanya picha sio hobby yetu. Wahitaji wengi wa wapi tena jamani?

Shusha hiyo shauku yako, ili usijekuwa disappointed sana[emoji53][emoji53]
 
Wengi tu wa hapa.

Cha kunidisappoint hakipo, bless my evening basi 😊
 
Back
Top Bottom