Eizyek
JF-Expert Member
- Aug 12, 2019
- 800
- 2,776
Ningekuwa kitengo wangekuwa wanahesabiwa mda wakichelewa mishahara inafyekwa
Ningekuwa kitengo wangekuwa wanahesabiwa mda wakichelewa mishahara inafyekwa
Kuna wengine walafi,Ningekuwa kitengo wangekuwa wanahesabiwa mda wakichelewa mishahara inafyekwa
Kuna siku gari imejaa kweli kuna mshikaji akawa anapakia viroba vyake watu waliwaka adi mwana mwana akajistukia.... adi gari kusimama ni kuwa gari aijajaa ndo maana watu wanapanda .Kuna wengine walafi,
Kila kituo anang'ang'aniza kusimama
Gari ishajaa ila hawakomi tu kusimama.
Kuna wengine hadi watukanwe na abiria ndio akili zinawajia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani gari inafurika hadi mlangoni anakazana kusema rudini nyuma.Kuna siku gari imejaa kweli kuna mshikaji akawa anapakia viroba vyake watu waliwaka adi mwana mwana akajistukia.... adi gari kusimama ni kuwa gari aijajaa ndo maana watu wanapanda .
Hivi nyigu huwa ana kiuno kinene namna hiyo?Black beauty ,kiuno nyigu
N kwel pia,
[emoji1787][emoji1787] kwa ali ilivo itabidi nitafute gari la laki tatu niepukane na ii kadhiaYaani gari inafurika hadi mlangoni anakazana kusema rudini nyuma.
Na gari inatoka mbezi ishajaa..
Anakazana rudini nyuma,wacha watu wamuwakie.
Kuna watu hata hawakufaa kuwa madereva wa haya magari.
Sent using Jamii Forums mobile app
c wanachukua karatas, then mwanafunz aendlee na pepa tyuuh,Anamsamehe vipi mtu ana karatasi??
Bora wakukamate unaigilizia Kwa mtu angalau huruma inaweza kuwaingia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee cc hata Co ivo, tunatofautian uwezo kumbka hilo pia.Wakiwa na huruma watatengeneza kizazi Cha graduants waliograduate Kwa kutumia desa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nizeeke sasa kipungue 🤣Hiyo KIBURI yako itakucost nakwambiaga mie🤣🤣🤣
Em nitumie chap nimuone mcute
Maandazi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ni mcute, ana macho mazuri😂😂
Pazuri mno.
cc guu la bia, [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hata huruma hawana lol, khaaahUkiingia kwenye anga za lect, anataka umtambue yeye ni nani, kuna malect wanajikuta wanamisimamo ya kifala mpaka shetani anaguna.
[emoji3475] ya roho.[emoji1787]Mi hizi kila siku utafikiri nafanya CIT [emoji1787](Cash in Transit)
Hii hapa jana tu.
View attachment 2001067
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan umejua kunivunja mbavu wee lolKaliboost liwe saa sita, amevua tu pwa (pwaah)
Eti mimi sijawahi mbona nimeweka tu pwa (pwaah)
Nimepaka vumbi alikasusu sekunde ya tano tu pwa (pwaah)
Msione nnalewa nimeachika yani nimetupwa (pwaah)
Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah...Uhuru unaokuanao ukiwa unaishi pekeyako [emoji3][emoji3] View attachment 2001139
cc umenistua ujue, sjazoea kukuonaa iv.Sunday
The 5: 25-26 [emoji8][emoji8]View attachment 2001822