Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kumbuka tangu baba mzee mugu anakufa/

alitusihi uaminifu ndio nguzo uliyoiangusha/

nashangaa bado nafsi yako haijasuta

natamani kukujali mdogo wangu/

sometimes nakwenda mbali natamani kukudhuru busara/ inaniweka huru
Sio poa asee 🔥🔥

Ulikataa kusoma chuo ng'ambo ili ubaki kula ninapokula
 
Usiku kaimba Songa, Dizasta ni mtu mwingine.

Anarap mastory ya kibabe 🤣🤣 hii inaitwa hatia 2 ya huyo Dizasta.

Wanasema mwanaharamu
Haijui laana 'kashalaanika
Nasikitika kuwa haujui
Kama naonekana ka'
Kondoo kwa mchungaji
Lakini...lakini kwa ndani
Mi ni chui mama

Kwa mfano nakuita mpenzi
Na tabasamu zuri wakati
Najua kuwa sikupendi
Kuitoa hii siri ndo siwezi
Kwahiyo nitakudanganya
Mpaka ifike siku niutimize
Ushenzi

Keep the good music alive 😴
Lenie 😂 pita kidogo.
That last verse😂 looh huyu ni mbabe hasa.

Sijawah sikiza nyimbo zake, nimemjulia humu JF hata sura yake siijui eti! Itabidi nimtafute nimskilize
 
Usiku kaimba Songa, Dizasta ni mtu mwingine.

Anarap mastory ya kibabe hii inaitwa hatia 2 ya huyo Dizasta.

Wanasema mwanaharamu
Haijui laana 'kashalaanika
Nasikitika kuwa haujui
Kama naonekana ka'
Kondoo kwa mchungaji
Lakini...lakini kwa ndani
Mi ni chui mama

Kwa mfano nakuita mpenzi
Na tabasamu zuri wakati
Najua kuwa sikupendi
Kuitoa hii siri ndo siwezi
Kwahiyo nitakudanganya
Mpaka ifike siku niutimize
Ushenzi

Keep the good music alive
Lenie pita kidogo.
vile hunioni kwenye makundi ya bar....

bahati nzuri hujawai skia nikizushiwa uzushi kitaa

nakununulia rubi kadhaaa unahisi nakujali

kumbe unampgia mbuzi gitaa

sometimes unanisongea nguna au wali

ukidhani mimi najali ilihali sijali na sina wazo la kukuonea hruma

aah

nashiriki na ww nyakati twitter mpaka instagram

picha unanitag drunken love
 
That last verse😂 looh huyu ni mbabe hasa.

Sijawah sikiza nyimbo zake, nimemjulia humu JF hata sura yake siijui eti! Itabidi nimtafute nimskilize
Last verse ndio imefanya nikuite 🤣🤣

Mtafute, ni mcute kimtindo.
 
vile hunioni kwenye makundi ya bar....

bahati nzuri hujawai skia nikizushiwa uzushi kitaa

nakununulia rubi kadhaaa unahisi nakujali

kumbe unampgia mbuzi gitaa

sometimes unanisongea nguna au wali

ukidhani mimi najali ilihali sijali na sina wazo la kukuonea hruma

aah

nashiriki na ww nyakati twitter mpaka instagram

picha unanitag drunken love
Break fast Zanzibar..
Me najua tunainza safari, kumbe unaniandalia maumivu makali

Nyie wanaume hamfai 🤣🤣
 
Aisee Kuna dude linaitwa KANISA la dizasta vina ni kwikwi
 
Break fast Zanzibar..
Me najua tunainza safari, kumbe unaniandalia maumivu makali

Nyie wanaume hamfai
breakfast zanzibar

haimaanishi kwamba tunaianza safari

nakuandalia maumivu makali

nahitaji nikuguse

ili kila unachoona kiwe kinafanya unikumbuke ni hatari

inaitwa zoea nanga kabla haijang'oa

heshimu mvua kama bado hujaloa

jicho la tatu hauna funguo jicho la pili...

utagundua kila ninachofanya ni batili...

huyu dizanta ni katili sana kaamizwa na manz mwingine anakuja kumpa maumivi manz mwingine
 
Uliza kiatu
20211108_103614.jpg
 
Back
Top Bottom