Improve?
Yesu ni mpoki umemaanisha nini mkuu?Unaweza Bwana mileleee
Unaweza Bwana milele
Unatosha Bwana milele
Unatosha milele.
[emoji445][emoji444][emoji445][emoji444]
Nakuabudu wewe ni MUNGU
Hakuna kama wewe wewe ni Mfalme
Umeketi mahali pa juu palipoinuka
Wewe ni Mfalme.
Wewe ,wewe,wewe ni kila kitu kwangu.
[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445]
Jwani kufwana Nugwe
Jwani kufwana Nugwe
YESU U mpoki
Malafyale Gwikemo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Yesu ni mpoki umemaanisha nini mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23] nashkuru kwa clarification mkuu nlijua unamaanisha yesu ni msanii
Mpoki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana yake ni mwokozi.[emoji23][emoji23][emoji23] nashkuru kwa clarification mkuu nlijua unamaanisha yesu ni msanii
Chomoa moja mkuu[emoji23][emoji1787]Mi hizi kila siku utafikiri nafanya CIT [emoji1787](Cash in Transit)
Hii hapa jana tu.
View attachment 2001067
Haya MkuuIla fire sio kwa huyo dogo[emoji39][emoji39][emoji39]
Kama polee inatoka moyoni asante sanaa[emoji25][emoji1488]
Marehemu alikuwa na mdomo sana 😂 ulisikia wapi pole za mpira zikatoka moyoni??Kama polee inatoka moyoni asante sanaa[emoji25][emoji1488]