Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,218
Alivyoropoka akawa ameshavuta attention ya watu, hivyo ikawa ngumu kulimaliza. Angefanya kimya kimya kidooogo angesaidika.Tobaaah, lect alishindwa hat namna yeyote ya kunsaidia, hat msamaha mmh![]()
Alivyoropoka akawa ameshavuta attention ya watu, hivyo ikawa ngumu kulimaliza. Angefanya kimya kimya kidooogo angesaidika.Tobaaah, lect alishindwa hat namna yeyote ya kunsaidia, hat msamaha mmh![]()
Duuh hat sjui huko aliko ana hali gan, hawa lects wawe na huruma bas km binadam duuh.Alivyoropoka akawa ameshavuta attention ya watu, hivyo ikawa ngumu kulimaliza. Angefanya kimya kimya kidooogo angesaidika.
Yaan we acha tyuuh, hapa nna kaz zmeniban hatareeh lol. Nliwamiss pia humuMambo ni mengi kweli, ulimisikaaa
Short-cut is always a wrong-cutNi ktk njia ya kutak ufaulu, japo sio halali, ila desa mmmh
Anamsamehe vipi mtu ana karatasi??Tobaaah, lect alishindwa hat namna yeyote ya kunsaidia, hat msamaha mmh![]()
Wakiwa na huruma watatengeneza kizazi Cha graduants waliograduate Kwa kutumia desa .Duuh hat sjui huko aliko ana hali gan, hawa lects wawe na huruma bas km binadam duuh.
Kinywaji changu pendwa.
Nazipenda pia...ila naona kama za siku hizi zmekua nyepesi kidogo eti!!!Kinywaji changu pendwa.
Natupenda hutu tudude halafu huwa hatunikolei.
Naweza kinywa Hata 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti na zile za mwanzo kipindi zinatokatoka.Nazipenda pia...ila naona kama za siku hizi zmekua nyepesi kidogo eti!!!
Zile zilikua tamu zaidi sijuag nini kilitokea za sasa hivi utamu umepungua kidogoTofauti na zile za mwanzo kipindi zinatokatoka.
Hizi za sasa hazikolei kabisa Yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchakachuaji mama.Zile zilikua tamu zaidi sijuag nini kilitokea za sasa hivi utamu umepungua kidogo
Numbers don't lie, numbers run the world. Ukiangalia utamu wa Fibonacci sequence, daah acha tuNumbers are doomed
Kabisa mkuu. Mambo yameidhinishwa kabisa Holmes. That's the executiveNaam!!
Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. Mwanzo 1:12

Naomba uweke tena basi! Nimepiga goti hapaHahaha hapana ...siwezagi kuposti

