[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niombee tu ndugu yangu ndiyo maana nasema siwezi kuolewa na huu ubishi sitaki kumtesa mtoto wa mtu mimi yaani nikiona nimeshindwa kabisa kuacha ubishi basi bora nisiolewe tu nitafute hela niwe nazurura duniani huko
Kazi zipi hizo SIMU??Acha kabisa,hizi kazi tunaziweza wachache sana tuliochaguliwa.
😂 😂 😂Jamaaani
Aisee,unataka kuwatapeli tena kama mwaka jana
Kuoa wake wengi.Kazi zipi hizo SIMU??
Hapa namzungumzia mke wangu wa tatu khasa,naona utakuwa umesoma vibaya nilichikiandika.
Mpaka najiuliza kwanini hukujibu nilichokiandika.
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Kajambe mbele huko. Nawatapeli wenye hela sio maskini kama wewe. Halafu sitaki unishobokee nilishakwambia ukiona post yangu pita kama umekutana na mkweo.
Dada wanapiga vizuri
Mara moja kwa Siku? Mara moja tuu?
Mimi siwezi.
unaolewa vizuri na mbwembwe zote zinaisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niombee tu ndugu yangu ndiyo maana nasema siwezi kuolewa na huu ubishi sitaki kumtesa mtoto wa mtu mimi yaani nikiona nimeshindwa kabisa kuacha ubishi basi bora nisiolewe tu nitafute hela niwe nazurura duniani huko
Nimeweka kila kitu mahala pake.Ungemtumia pm huyo mkeo
We mzee vipi jamaniMhhh...uunh...okay!!!
Naukumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka ule Uzi tumebishana Sana kuhusu utatu mtakatifu alisema atakuja kututia adabu kwa kutuongeza kuwa wakeze???
Nikajua tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka wadogo zako watakiona Cha mtema kuni humu ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Hizi mbwembwe zinatuhusu???
nadhani ungemwambilia pm tu
😂😂😂😂😍😍Kajambe mbele huko. Nawatapeli wenye hela sio maskini kama wewe. Halafu sitaki unishobokee nilishakwambia ukiona post yangu pita kama umekutana na mkweo.