Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani wewe tena nafasi ya nne ndio inakufaa kabisa,kwanza tunafunga mahesabu pili unakuwa pamoja na mimi sababu wale watatu wa mwanzo wataungana kukuhujumu wewe,basi mimi ndio nitazidisha mapenzi tena na tena.

Hakuna starehe kama ya kuwa na wake wengi bibie.

Nimemaliza .....
Asubutuu
 
Achana na huyo takataka. Halafu sijui nilimbebea bwana. Maana kanikalia kooni utasema nashea nae. Nishamwambia asinizoee ila akiniona tu genye zinampanda.
Na hata kama natapeli nishamwambia natapeli wenye hela sio maskini kama yeye
Mwenye pesa ndio wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwa lipi haswa ulilonalo ?
 
Naona huyu Kaka anataka kumpa ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mama naona sasa unataka kujiharibia CV yako ya kutokula ban tangu ujiunge JF
We bwana nikupige una hela? Embu kwenda huko.
Dada naona wabaya wanakutafutia ban kwa Hali na mali
 
Wewe mwanaume mwenye tabia za kike narudia tena UNIKOME. Sikujui hunijui unaanzaje kuniongelea ufala?

Kwanza sipendagi mazoea na mashoga tuheshimiane tafadhali.
Tapeli nilikutapeli wewe? Kwanza hela huna nakutapeli mambupu au? NIKOME
Dozi imekuingia haswaaa.
 
Ndo nikuulize wewe. Ni nini unachohangaika na mimi? Sina chochote ila kutwa kunikalia kooni kama tunashea bwana inahusu?
Embu fanya mambo yako acha kufuatilia wasiokuhusu.
Mwenye pesa ndio wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwa lipi haswa ulilonalo ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanini eti jamani?? Wakati mimi ndiyo naona sikufikii wewe kwa vichambo!! Vile vichambo mlivyompa yule kaka ningepewa mimi ningetoka JF milele
Huyu Hana ligi ila vichambo vyake sio vya nchi hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Halafu huwa haongei Sana ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kapeace ni habari nyingine
 
Back
Top Bottom