Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,191
- 96,337
Aisee,unataka kuwatapeli tena kama mwaka jana
Uncle acha uzi uendelee in peace...huu uzi una wafuatiliaji wengi kuliko wanaochangia(nikiwemo mie)
Tuenjoy na picha chache zinazotumwa
Aisee,unataka kuwatapeli tena kama mwaka jana
Mbona wako wengi tu humu maconcord wa ubishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hata sitaki kuwafikia aise maana zamani nilikuwa mbishi hadi nikawa najikubali, mimi nilishawahi kushikiwa bunduki na rafiki yangu fulani hivi sababu ya ubishi.
Ilifika kipindi ndugu zangu wakawa wananiambia nilipaswa nisomee sheria niwe wakili nikasimame mahakamani huko ili nibishane vizuri[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]maana dunia hii hakuna watu wabishi kama mawakili
Hadi sasa nikaanza kujiogopa nikasema mmhh ngoja tu nipunguze ubishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]secondary sasa nilikuwa nabishana mpaka na waalimu kwenye marekebisho ya mitihani ile kutafuta marks za mezani yaani nilikuwa nahakikisha wananiongezea
Kwa matraffic sasa hapa ndiyo sitaki kuongea sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kuna matraffic wa maeneo fulani hivi huku wamenikariri, ila yote tisa kumi sijamfikia mtu fodo hivi anayebishana hadi na muumba yaani yule ni another level.
Achana na huyo takataka. Halafu sijui nilimbebea bwana. Maana kanikalia kooni utasema nashea nae. Nishamwambia asinizoee ila akiniona tu genye zinampanda.Sifahamu hili
Wewe yaonyesha unauza ice creme za azam.Bado nakula bata mshahara.... View attachment 1223132View attachment 1223131
Aisee ,imekuuma eeh?Kajambe mbele huko. Nawatapeli wenye hela sio maskini kama wewe. Halafu sitaki unishobokee nilishakwambia ukiona post yangu pita kama umekutana na mkweo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanini eti jamani?? Wakati mimi ndiyo naona sikufikii wewe kwa vichambo!! Vile vichambo mlivyompa yule kaka ningepewa mimi ningetoka JF mileleWe sitaki hata ligi na wewe
Mpigaji huyo kuwa naye makini
Alishakupiga?
Kulwa natuma ile tuliyopiga tukiwa wote my twinUncle acha uzi uendelee in peace...huu uzi una wafuatiliaji wengi kuliko wanaochangia(nikiwemo mie)
Tuenjoy na picha chache zinazotumwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niombee tu ndugu yangu ndiyo maana nasema siwezi kuolewa na huu ubishi sitaki kumtesa mtoto wa mtu mimi yaani nikiona nimeshindwa kabisa kuacha ubishi basi bora nisiolewe tu nitafute hela niwe nazurura duniani huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mama naona sasa unataka kujiharibia CV yako ya kutokula ban tangu ujiunge JFWewe mwanaume mwenye tabia za kike narudia tena UNIKOME. Sikujui hunijui unaanzaje kuniongelea ufala?
Kwanza sipendagi mazoea na mashoga tuheshimiane tafadhali.
Tapeli nilikutapeli wewe? Kwanza hela huna nakutapeli mambupu au? NIKOME
Kulwa natuma ile tuliyopiga tukiwa wote my twin
Kwani huna habari?
NambieDaah.
Nimetoa angalizo tu watu wawe naye makini.Uncle acha uzi uendelee in peace...huu uzi una wafuatiliaji wengi kuliko wanaochangia(nikiwemo mie)
Tuenjoy na picha chache zinazotumwa
hahahahaha tabia za Aina hii sio poa kabisa kwa ME.Achana na huyo takataka. Halafu sijui nilimbebea bwana. Maana kanikalia kooni utasema nashea nae. Nishamwambia asinizoee ila akiniona tu genye zinampanda.
Na hata kama natapeli nishamwambia natapeli wenye hela sio maskini kama yeye
Sina cha kukwambia.Nambie
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Mbona Nyigu aliiona na akakomenti kabisa
Muongo ,,Saint anne eti nyigu [emoji3][emoji3] emu nitag nikaone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji7]
Best answer kwa mwanzo wa mwezi october!!!