Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona wako wengi tu humu maconcord wa ubishina hata sitaki kuwafikia aise maana zamani nilikuwa mbishi hadi nikawa najikubali, mimi nilishawahi kushikiwa bunduki na rafiki yangu fulani hivi sababu ya ubishi.

Ilifika kipindi ndugu zangu wakawa wananiambia nilipaswa nisomee sheria niwe wakili nikasimame mahakamani huko ili nibishane vizurimaana dunia hii hakuna watu wabishi kama mawakili

Hadi sasa nikaanza kujiogopa nikasema mmhh ngoja tu nipunguze ubishisecondary sasa nilikuwa nabishana mpaka na waalimu kwenye marekebisho ya mitihani ile kutafuta marks za mezani yaani nilikuwa nahakikisha wananiongezea

Kwa matraffic sasa hapa ndiyo sitaki kuongea sanakuna matraffic wa maeneo fulani hivi huku wamenikariri, ila yote tisa kumi sijamfikia mtu fodo hivi anayebishana hadi na muumba yaani yule ni another level.

Ila na wewe umo umo.
Dada uliwatoa watu wote kimasomaso uzi wa nyenyere comments 1000 peke yako.
 
Nimekupenda hapa sasa hali shwari
Somo limeeleweka.
Na somo lenyewe ni kila mtu aishi maisha yake bila kuingilia Uhuru wa mwenzake.
Hata kama mimi ni mbaya sio sababu ya wewe kunisimanga.
Hata kama sina kazi nashinda jf, kama sijakuomba hela hauna sababu ya kunisimanga.
Kama najiuza pia hauna haki ya kunisimanga.
Kama nafake maisha ndio kabisaaa hauna haki ya kunisimanga ukitaka na wewe fake.
Melo hakukosea kuita jf ni jukwaa huru. Sio watu wengine wanataka tuishi kwa kuwalamba miguu kisa unahisi anapicha yako ataipost. Hiyo haipo tena.

Asanteni sana jeshi la wanawake mliojitolea kutokomeza hii tabia.
 
Mbona wako wengi tu humu maconcord wa ubishina hata sitaki kuwafikia aise maana zamani nilikuwa mbishi hadi nikawa najikubali, mimi nilishawahi kushikiwa bunduki na rafiki yangu fulani hivi sababu ya ubishi.

Ilifika kipindi ndugu zangu wakawa wananiambia nilipaswa nisomee sheria niwe wakili nikasimame mahakamani huko ili nibishane vizurimaana dunia hii hakuna watu wabishi kama mawakili

Hadi sasa nikaanza kujiogopa nikasema mmhh ngoja tu nipunguze ubishisecondary sasa nilikuwa nabishana mpaka na waalimu kwenye marekebisho ya mitihani ile kutafuta marks za mezani yaani nilikuwa nahakikisha wananiongezea

Kwa matraffic sasa hapa ndiyo sitaki kuongea sanakuna matraffic wa maeneo fulani hivi huku wamenikariri, ila yote tisa kumi sijamfikia mtu fodo hivi anayebishana hadi na muumba yaani yule ni another level.
We sitaki hata ligi na wewe
 
Back
Top Bottom