Huwa siitiki mpaka niitwe,subiri ajichanganye sasa uone nitakacho mfanya.Acha mkwara
Si unajua lulu huwa nzuri zaidi ikiwa kwenye jumba lake,sasa atoke kwenye jumba aone nitakacho mfanya.
Huwa siitiki mpaka niitwe,subiri ajichanganye sasa uone nitakacho mfanya.Acha mkwara
Naona kimbunga Kenneth kimehamia humu
Aisee kimbunga kikali Sana...bomu limelipuka,kisije kunibeba..wacha kiondoke Mimi.
Mshana Jr Kaka nilikwambia usipulize Tena dawa nimeshika wingu
Unaona Sasa ulivyo changanya mambo huku
Naenda tatu kavu kushika wingu.
Bye

Anajikosha tuu. Jitu halina siri nani ajisumbue kumpmAlisema eti mnampaparikia pm![]()
Hii dunia Ina maajabu
Mwewe 😂😂😂😂🙌Jinsi alivyokuwa ana chat na kamanda kapeace Wanazengo tulitulia nikajisemea yes huyu Nyumbu lazima aingie kwenye mtego na kweli kaweka picha ya mwewe wake maana si kwa kucha chafu zile.
Kweli jamaniSema kweli jamani
Kuna watu mmeamua kutuchukulia mabwana zetu kwa hizi pics zenu, nimeacha na kusifia saiv,
Unaonekana kama una mahaba sana we maza




Fwala wewe nimecheka sana ebu acha wivu sharing is caring
Ulisema nini eti we mkakaMi nilisema
Wake wakubwa hawawezi kutuma humu ila huyu wa tatu hatabiriki kabisa.Kwahiyo wake zako wote wanaruhusiwa kutuma picha zao humu isipokuwa huyo wa tatu??
kuwa wewe mweupe sanaUlisema nini eti we mkaka
Imebidi azuge ni id mpya maana anajua ni uongo .Baharia anakwambia mnamshobokea kwa ID zenu mpya mpyahamna techniques za kwenda kuomba namba yake PM daily anawachana huko PM na kuwatimua jamani jamani
Ila we Hannah wewe![]()
Kazi? Afanye kazi saa ngapi na apate muda saa ngapi wa kuzunguka pm kutafuta picha za wadada wa jf.
Ona hapo amesema ana file kabisa na atakuwa anachomoa betri kwa mmoja mmoja. Sasa huyo kazi anafanya saa ngapi.
ACHOMOE SASA TUONE. hata akichomoa kwa ID nyingine mwandiko wake naujua. Picha ya mdada yoyote itakayochomolewa betri nanunua ugomvi.View attachment 1223267







Ni yupi hivi!?Kwahiyo wake zako wote wanaruhusiwa kutuma picha zao humu isipokuwa huyo wa tatu??

Hawajuagi
Hapa namzungumzia mke wangu wa tatu khasa,naona utakuwa umesoma vibaya nilichikiandika.Kwani kusifiwa dhambi? Embu acha watu wafanye wanayotaka we kama unajua ukituma yako hatutakusifia jitulize
Hahahahahahahah jamani wewe ni mkorofi hivyo????







.Ni wazi somo limemuingia mi kwangu ni furaha, hizi fujo sizipendi kabisa lakini inapobidi kuingia nakuwa sina namna,, nimeshakosana na mabaharia wengi tu humu sababu ya hizi fujo......vichwani mwao itakuwa naitwa mama kiherehere but i don't careNa sasa hivi nimeenda kuangalia kuna uzi naona ameongea na mods waung'oe.
Jana ulikuwepo na nilisoma zote nashangaa Leo zipo mbili tuu.![]()