Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona kimbunga Kenneth kimehamia humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee kimbunga kikali Sana...bomu limelipuka,kisije kunizoa Mimi walahi na hizi kilo zangu mbili..wacha niondoke Mimi.
Mshana Jr Kaka nilikwambia usipulize Tena dawa nimeshika wingu[emoji1787][emoji1787]
Unaona Sasa ulivyo changanya mambo huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naenda tatu kavu kushika wingu.
Bye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mtoto tema mate chini niwe mke wa huyo nimemkosea nini muumba mie??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitue kabisa mtoto wa mwanamke mwenzio!!
Daah.
 
Somo limeeleweka.
Na somo lenyewe ni kila mtu aishi maisha yake bila kuingilia Uhuru wa mwenzake.
Hata kama mimi ni mbaya sio sababu ya wewe kunisimanga.
Hata kama sina kazi nashinda jf, kama sijakuomba hela hauna sababu ya kunisimanga.
Kama najiuza pia hauna haki ya kunisimanga.
Kama nafake maisha ndio kabisaaa hauna haki ya kunisimanga ukitaka na wewe fake.
Melo hakukosea kuita jf ni jukwaa huru. Sio watu wengine wanataka tuishi kwa kuwalamba miguu kisa unahisi anapicha yako ataipost. Hiyo haipo tena.

Asanteni sana jeshi la wanawake mliojitolea kutokomeza hii tabia.
Ndio ndio
 
Back
Top Bottom