Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tahadhari :

Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.

Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
 
Dar moko hiyo... Break ya kwanza kigamboni.. Bata mapemaaaaa
1570171736188.jpeg
 
Tahadhari :

Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.

Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
Kwahiyo wake zako wote wanaruhusiwa kutuma picha zao humu isipokuwa huyo wa tatu??
 
Sio wewe uliniambia Siku hizi nimekuwa mpole hadi natia huruma?
Naona hakumjua vizuri the tiger in you aliona ukondoo wako wa nje tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]alivyoona umeacha kujiita dark angel akajua na udevil utakuwa umekwisha kabisa, kwamba sasa umekuwa Hannah Montana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom