Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,665
Nakazia FURUSHI
Ndio ajue hata sisi ni wapenzi/wake za wanaume wenzie na uzuri wetu wanauona wao kama ambavyo wa mkewe anauona yeye. Yeye anaumia wake kupewa makavu live wakati bingwa wa kupaka wenzie[emoji57][emoji57][emoji57]
Eti hatuna kazi [emoji23][emoji23][emoji23] ye mwenye kazi nzuri kapata wapi muda wa kufuatilia wanawake wa humu na kujua muda wote wapo online!!!
FURUSHI.