Haya vimbau wote tunawatakia asubuhi na weekend njema
Semegi hiki kiatu umechanjiwa?Dar moko hiyo... Break ya kwanza kigamboni.. Bata mapemaaaaaView attachment 1223237
aiseeeeHaya vimbau wote tunawatakia asubuhi na weekend njema
Eheeeeeeaiseeee
Hahahaha daahSemegi hiki kiatu umechanjiwa?
Naanzaje kusahau kirahisi na wakati mwezi mzima huku alikuwa anatusema sisi ni wabovu.
Walah ninakugawa!!!!

siwezi kusahau kwakweli.
WachaaaaaHaya vimbau wote tunawatakia asubuhi na weekend njema
Wifi weeee. Karangi ka mtume.
General Mangi anko unafeli wapi??
Tahadhari :
Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.
Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
Nikinywa maji nakuona kwenye glasi.
Unafukua makaburi loh...Naanzaje kusahau kirahisi na wakati mwezi mzima huku alikuwa anatusema sisi ni wabovu.
Kwa picha ya demu wake hiyo daahsiwezi kusahau kwakweli.View attachment 1223242View attachment 1223244
EheeeeeJamani









Umeamua Sasa kurudi jinsi ulivyokuwaSio wewe uliniambia Siku hizi nimekuwa mpole hadi natia huruma?






