Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

And yet haukauki kwenye huu uzi, hebu acha turushe picha zetu kwa raha zetu. Hivyo vitisho vyako watumie wakezo msg.
Mlengwa hapo ni mke wangu wa tatu,kisha nikawakilisha wingi kwa umoja.

Sijui kwanini,hamumpi nafasi mke wangu wa tatu ?
 
Jinsi alivyokuwa ana chat na kamanda kapeace Wanazengo tulitulia nikajisemea yes huyu Nyumbu lazima aingie kwenye mtego na kweli kaweka picha ya mwewe wake maana si kwa kucha chafu zile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mr perfect alikamatika.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuota nako kunaruhusiwa jamani, ipo siku atazifikia ndoto zake.

Ila Kati ya watu hawana credibility ya kumrekebisha mtu mtu nae Ni mmoja wapo. Atuliege tu.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Ndio ndio
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Hayasahauliki kwa kweli.
Mwanamke mkosee akikaa kimya usijidanganye umeshinda, tukiamua kurudisha mashambulizi shetani mwenyewe anakaa pembeni ajifunze kutoka kwetu.
 
Back
Top Bottom