Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwisho wasiku ikabidi aanze kumsifia kwenye maeneo mengine. Maana alijua kwenye appearance na usafi ndio ashafeli.
Eti mke wake katuzidi Elimu ana kazi zuri, ana akili na simu zuri ana nidhamu anajua kupika na blah blaah.
Ndio ajue hata sisi ni wapenzi/wake za wanaume wenzie na uzuri wetu wanauona wao kama ambavyo wa mkewe anauona yeye. Yeye anaumia wake kupewa makavu live wakati bingwa wa kupaka wenzie

Eti hatuna kazi ye mwenye kazi nzuri kapata wapi muda wa kufuatilia wanawake wa humu na kujua muda wote wapo online!!!

FURUSHI.
 
Hahahaha kubwa ni kuwa team moja mbona tutawanyoosha wote vya udomo, mi nakubali kuna watu kukwazana lkn ndo utukane jamii yake yote??? Kumfata pm alishindwa!! Ustaarabu ni kitu cha bure
Yaani kosa la mtu mmoja ukandie watu wote.
Ajifunze kwetu, kosa ni lake na tumedeal nae yeye bila kuhusisha wanaume wengine wa jf.
Sio umekutana na sample moja haijakuridhisha ndio unajidai umeiona jf nzima.
 
Brother wala hakuna haja ya kufanya character assessment kupitia huu uzi, utawakosea warembo wa watu.

Waache wateme sumu zao wiki nzima waliteseka nyuzi zisizikuwa na mpango, fikiria mdada wa wa watu kapost picha yake mtu kaichukua kaizoom na kukandia sijui kavaa ndala na maneno mbovu mbovu kibao, lakini anasahau hao ni wadogo zetu ndo wamemaliza masomo au ndo wanaanza hustling za maisha, unaweza kumkosoa kwa kumfata pm au ukamkosoa in a good way lakini si kumbeza jukwaani kumdhihaki ili mradi tu.

Halafu kwenye haya maisha kweli unaweza kumdhihaki mtu kisa viatu sijui kiuchumi hayuko sawa, leo utamcheka kavaa ndala kesho yake unakatatika miguu kwa ajali hata hizo ndala huwezi kuvaa tena.
Haya maisha kuna watu wanajisahau sana hukatazwi kumsifia mwanamke wako offcourse ndo tunavyopendwa kusifiwa n wanaume zetu ila ukinisifia mimi siyo uwaponde wanawake wengine, thats not cool na msukuma wangu kaniambia haipo kwenye katiba ya kiumeni.
Una akili Sana
 
Back
Top Bottom