Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna visu huko juu.
Wengine sisi Ni wasindikizaji tu humu
Nimejionea aisee japo sijaona picha zote.

A lot of drop-dead gorgeous figures in this thread.

Hehe watoto mna figures utafikiri mmechonga kwa fundi selemala.

Hizi figures nilizoziona hapa wale Kardashian sisters huwa wanatumia mpaka $200,000 ambayo ni sawa na Tsh.460m kuzitengeneza kwa madokta wao, lakini nyie mmepewa bureee!!

Hakika Nchi hii ina maliasili kibao.
 
Hakika watu wamebarikiwa huko .
6 pack nazo si haba.
Weka nyingine basi lizarazu.
Weka ya mwisho mwisho tufunge Uzi.
 
Ole wenu muitukane serikali
JF is the only place where we can dare talk openly, besides JF there's no other place where we can confidently express our disgruntlements about this fascistic government.

I personally won't stop to animadvert this reprehensible government and no one will snatch me.

Acha kututisha mzee baba.
 
Wewe dawa yako Ni Lizarazu.
Mbona atakubangua huo mdomo hadi ukae kimya
halafu haujui tu mimi nikiolewa I will make a very good wife basi tu huwa najichetua akili ila I know someday nitaacha huwa nasema huu ujinga nisipoufanya sasa hivi nitaufanya lini tena nikiwa kwenye ndoa au??sitaki kuruka stage mie!!
 
Nakujua vema Sana.
Hilo ondoa shaka

Mimi nimeruka stage
 
Back
Top Bottom