Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
Halafu mi maneno ya kweli sipendagi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, Mzigua naona bado umelewa.
Hahahaha, Mzigua naona bado umelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akiwa wa kike nataka awe kama wewe[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekuharibia wapi tena mdogo wangu??, [emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana.. Daaah haya bhana, yaani umeniharibia na kwingine kote.
Mimi najiandaa kuolewa.Amen mdogo wangu nataka kuwa kama wewe unaonekana wife material sana kwa sasa mimi siyo wife material kabisa na wala sina mpango wa kuolewa ila nikianza kufikiria kuhusu kuolewa nitakuwa tu wife material[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]one day yes, never say never.
ShkamooNaona umevaa vilipuzi mkuu[emoji23]
nami nasubiria nimjue ni nani huyoHapana. Labda nimuite. Sema nitakula matusi yote WhatsApp
Sawa dada [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hivi kwanini muamala hausomi kaka wakati namba unayo?View attachment 1222940
Awe na tabia nzuri kama zako...bila kusahau hivyo vishkio,mashavu,rangi nk 😆😆😆[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mefanya nini eti jamani
Unakunywa Kvant na mie nakudaii?!!!
Weka picha Basi na Wewe..Hahah.. . [emoji123][emoji123][emoji123] Muda sana
Jamanii...Awe na tabia nzuri kama zako...bila kusahau hivyo vishkio,mashavu,rangi nk [emoji38][emoji38][emoji38]
Sababu naona nimeishiwa maneno ya kucomment wacha niweke vikatuni tu
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hizo lips jamani..!! Nimemuonea wivu anayezikunywa.!!Hivi kwanini muamala hausomi kaka wakati namba unayo?View attachment 1222940
Amina sanaJamanii...
Mungu ni mwaminifu, akupe hitaji la moyo wako
nami nasubiria nimjue ni nani huyo
😆😆😆Basi sawaYupo huku. Nimelewa sitaki kumtag maana sitaki kugombana usiku huuu
Umeghairi tena Nyanda?.Wewe ni shemeji yangu kuanzia sasa !!!