Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kuna visu huko juu.Duuh.. Kumbe JF ni zaidi ya tuichukuliavyo!!
Basi itabidi nianze na mimi kuzurura zurura huko PMs kwa hivi vitu nnavyoviona hapa
Wengine sisi Ni wasindikizaji tu humu




Kuna visu huko juu.Duuh.. Kumbe JF ni zaidi ya tuichukuliavyo!!
Basi itabidi nianze na mimi kuzurura zurura huko PMs kwa hivi vitu nnavyoviona hapa




Nataman na mm nikushudie uzur wako
TehNataman na mm nikushudie uzur wako
Kuna kitu kinaitwa " skunk beer". Bia inapoteza ladha kwa kupigwa na mwanga wa jua, uv light.
Inatokea zaidi kwa beer za chupa, na chupa za kijani ndio zinaathirika zaidi. Beer za kopo ni ngumu kupata hiyo kitu.
Kama hizo imported beer ndio zaidi unaweza pata hizo mambo.
Sema piga monde mama, muda ndio huu.
Haki vile nimekuzidi miaka kama kumi na ushee hivi
haya ndo mateso bila chuki![]()
Nataman na mm nikuone uzur wako
Hivi umeolewa?? Kaka yangu anatafuta mke naomba kuwa wifi yangu!!
Hahahaha jeshi si lilikuwepo hata miaka ya 90 mama??Aaah wapi... umeendaje jeshi sasa?
Ili unionee siiooPoa kuwa mpole
That's my Kasie. Busara za kumwagaHeey Cardio maamboo,
Sometimes we reach our limit of being tolerated or humiliated its allowed to spit our anger, nakuelewa.
Well, I don't know you but at least I have hints....
Just take it easy, enjoy your day, have fun and let no one grab your smile.
Take a sip and kiss, let love lead.
Shida yangu chochote nnachosema najikuta kinaishia kwenye Mahaba tuu...
Matata K.



I am humbled.Wewe utabaki kuwa kielelezo bora kwa aina ya wanawake wenye akili na hekima zao.
Sitakusahau wakati flani nikiwa ninashambuliwa bila sababu na wenye akili zao...ulituliza moto kwani nilichokuwa nakiwaza kukifanya "shetani anajua" kwani najijua mwenyewe nilivyo na hasira kwa wapumbavu...ubarikiwe sana bila kumsahau kipenzi CUTE B
Wewe umeelewaje?Unamaanisha kibao kibao kweli au kibao kile kingine?
Ahsante... sijaona yako..