Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha wew si ulishaniona kule kwa dada wa taifa
Kule sijakuzoomm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha wew si ulishaniona kule kwa dada wa taifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaa. Ushajua nilichokificha.
Nilificha hiyo badge mpenzi
😋 😋 😋 😋😋Wamenichefua balaaView attachment 1222759
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji39]
Kuwa mwembamba bora ubaki chibonge, mi mwenyewe wembamba hapanaHahahaa. Nitafutieni tu mume. Bata zangu mie sio za gharama maana nalipiwa kila kitu hata msione wivu sio hela yangu ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unene unapungua mwaya. Nakimbia nipungue kidogo. Sema sipendi wembamba pia
Hebu sogeza pembeni hiyo emojiWamenichefua balaaView attachment 1222759
Usinipulizie dawa tafadhali.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu sogeza pembeni hiyo emoji
NaaaamWanaume wa jf wana....
Viatu vizuri
Saa nzuri
Raba kali
Shingo ndo usiseme
Magari mazuri
Wengi sana wameoa japo wamevua Pete.
Lakini mekuta kuna mmoja tulikuwa naye machakos, ila kahamia Tz sijuii!!
Wamenichefua balaaView attachment 1222759
Family ruksa Zoom tu mpendwa.Hivi kuzoom imo?
Subiri nifanye mambo..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]