Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20190722-WA0122.jpeg

Watu8 yna2
 
Njoo tushinde JF mama maana tushaambiwa hatuna kazi
Hilo neno nililinasa kichwani....
Yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nanyie mmeuwasha Moto...hasa huyu Hannah Haki ya Nani anaweza kumfanya mtu atapike utumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi unadhani naweza kuziacha ng'ombe 70 ziende?
Hivi unadhani naweza kwenda kwa bondia Yule Lizarazu...hunipendi eeh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siwezi nikakuangusha...nakumbuka mahusia yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oohh hapo sawa fanya hizo ng'ombe zije nyumbani ndugu zako tuondokane na umasikini jamani nilishakuambia mwanaume mwenye hela tu ndiyo shemeji mwanaume asiye na hela huyo ni mume wa dada sasa tafadhali tunahitaji shemeji hatuhitaji mume wa dada sawa eenh??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeamua kumdharirisha Lizarazu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo Lizarazu Ni mume wa dada au sio!???
 
Back
Top Bottom