Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mr perfect hivi si ni wewe uliwekaga uzi hapa jf ukimsema mdada wa jf tena ambae kucha zake zimepakwa rangi na ni safi kabisa!!!!!
Vipi hizi kucha za mkeo?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Kweli nyani haoni kundule!!!
😂😂😂😂😂😂 tucheke kimya kimya jamani me sitaki Uzi wa watu uharibike.

Cardiovascular upunguze ushamba na uswahili bestie, kutusema kote kule afu demu wako mwenyewe ndio huyo 😂😂 siku nyingine kabla hujamtoa mtu kasoro make sure you're perfect enough.
Yale majigambo yote kwanza ubadili kile kitochi at leat kiwe cha Samsung, itel tunatumia sisi mabeki tatu okay!!! CASE CLOSED kiroho SAYONA
 
tucheke kimya kimya jamani me sitaki Uzi wa watu uharibike.

Cardiovascular upunguze ushamba na uswahili bestie, kutusema kote kule afu demu wako mwenyewe ndio huyo siku nyingine kabla hujamtoa mtu kasoro make sure you're perfect enough.
Yale majigambo yote kwanza ubadili kile kitochi at leat kiwe cha Samsung, itel tunatumia sisi mabeki tatu okay!!! CASE CLOSED kiroho SAYONA
Najua una hasira sana lakini wahenga walisema adui mpende,,,,
 
Mr perfect hivi si ni wewe uliwekaga uzi hapa jf ukimsema mdada wa jf tena ambae kucha zake zimepakwa rangi na ni safi kabisa!!!!!
Vipi hizi kucha za mkeo?

Kweli nyani haoni kundule!!!
Nilisema jana akakate kucha hizo
 
Back
Top Bottom