Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hilo neno nililinasa kichwani....
Yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nanyie mmeuwasha Moto...hasa huyu Hannah Hali ya Nani anaweza kumfanya mtu atapike utumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa yaani mie mwenyewe nilivamia ugomvi tu ila eti ndiyo nikajikuta nina hasira kuliko waliotukanwa hadi kaka wa watu kanung'unika haki inabidi niache huu utani wa kijinga humu JF kuna watu huwa wanamaindi kweli aise yaani mimi nikija kupata mume kauzu asiyependa matani sijui nitaishije nahisi nitakuwa nakula mabanzi kila siku
 
Wewe dawa yako Ni Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mbona atakubangua huo mdomo hadi ukae kimya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeamua kumdharirisha Lizarazu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo Lizarazu Ni mume wa dada au sio!???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sijataja mtu usinichonganishe kabisa na Patrice Lumumba wangu
 
Picha za watoto zimekuwa zinanichanganya sana siku za karibuni..
Naweza kukaa nikazubaa wee naziangalia tu tofauti tofauti
Basi umekuwa mkubwa!
Fanya utararibu basi mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sijataja mtu usinichonganishe kabisa na Patrice Lumumba wangu
Atakuja hapa na kizungu chake humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chitchat itageuka mmu
Hachelewi kuanza kuweka records zake za Beijing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena namuona anapita kwenye comments zangu
 
Back
Top Bottom