financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,503
Uko vizuri mwaya[emoji106]Wamenichefua balaaView attachment 1222759
Uko vizuri mwaya[emoji106]Wamenichefua balaaView attachment 1222759
Upo hapo muda huu Mkuu...
Nilikuwa hapo juzi..
Huo ni uchochezi
EwaaaNaaaam
Hahaha wale wasio kuwepo jf ndio wapo oposite.
MmmhhhHapana mkuu, ile picha niliiona kwa macho yangu mawili bila kuwa na ushawishi wowote wa alcohol
Daaa ulivyojipinda hapo aisee.....upewe tu balodo yako @zesh
Wamenichefua balaaView attachment 1222759
Wamenichefua balaaView attachment 1222759
Nikiweka Tena picha hapa nitakuwa sio mimi walahi.Yani mambo yamekua mengi hadi nmepitwa na pic za hawa warembo
Saint anne Hannah Depal Sakayo
Fanyeni kunihurumia basi nami nishuhudie uumbaji
Yangu ipo studio bado ntawekaAnza wewe na sie tushuhudie au we hujaumbwa?
Hajaumbwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anza wewe na sie tushuhudie au we hujaumbwa?
Hujaona picha zake kwani?Saint anne ni mrembo?
we si kisu we ni panga
Itabidi nikomae humu kwanzia sasa hiviNikiweka Tena picha hapa nitakuwa sio mimi walahi.
Nimeweka zaidi ya mara 3.
Ndio ujifunze ,Siri ya kuto kupitwa Ni kukodoa macho muda wote.
Unadhani watu wanakodoa macho humu mchana kutwa usiku kucha wanapenda? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanajikaza kisabuni tu.
Wala...Saint anne ni mrembo?
Mie nawakumbukaga sana jamaniSanteee kwa kutusifia.... leo tumekumbukwa.
Najua kunyoa pia