Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnashirikiana kutusema kiana we na Mzigua90 nawaona tu [emoji23][emoji23][emoji23]


Saint anne twin ona hawa wadada [emoji23] wanasema wembamba hapana, inabidi tuongeze juhudi katika kula kabla huu mwaka kuisha nyama ziongezeke.

Pulisic CFC mtetezi we si unapenda vimbau eeh [emoji23][emoji23]
Usijali wembamba ni bora kuliko ubwenyenye.......

Nasubiri povu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom