Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]
Kazi kweli.

Sikuona hata... niliona tu mtu kaweka status watsap wakiwa wanaingia kanisani na lile gauni lake tumbo lote liko nje.
Lulu alikua ana heka heka, yaan anawapangia watu kwenye magari ya kupanda, kuelekea hotelini. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yeah hawa wakongwe wengi wanafahamiana sana na wanaheshimiana sana hauwezi kukuta wanatangaza kijingajinga kuwa eti wanafahamiana! Shida ipo kwetu sisi wa juzi juzi nakwambia mtu akifahamiana na mtu hasa anayekubalika atataka jf nzima ijue!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ili iweje sasa.
 
Back
Top Bottom