Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe unaamini ile falsa ya mwanamume kwa mwanamke mmoja ni kitu kisichowezekana?
Wewe kama mwanamke najua unajua kuna wakati mnakua na dharura, na hio dharura inaweza kudumu hata miezi 6 na kuendelea, unadhani mwenzako ataishi vipi katika situation Kama hio?
Hoja Kama hizi za kina Mwitore yaani nikimkamata mtoa hoja ni kutandika tu ngumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie hampatagi dharura? Hamtegukagi nyonga na kuumwa visukari, sisi huwa tuna-survive ipi?
hio hutokea mara chache sana yaani mmoja kwa 1000 na pengine isiwepo kabisa kitu kama hiko,
lakini kwenu hio ni maumbile mfano halisi pegnant ama uzazi!
 
Sasa muda wa changamoto ya mkeo ndiyo muda wa wewe kucheat? Ndiyo unamlipa mkeo kwa kukuzalia mtoto?
ndio maana nikasema wakati wa dharura, sio kwamba ninatetea jambo hilo au kwamba mimi ni muumini kwa kitu kama hiko la! bali kama mwanaume najua wengi wetu huangukia mahali hapo na wewe kama mke ni kusamehe iwapo utaombwa msamaha.
 
Yeah hawa wakongwe wengi wanafahamiana sana na wanaheshimiana sana hauwezi kukuta wanatangaza kijingajinga kuwa eti wanafahamiana! Shida ipo kwetu sisi wa juzi juzi nakwambia mtu akifahamiana na mtu hasa anayekubalika atataka jf mzima ijue!
Kiukweli wakongwe hatuna shida kabisa siunajua utu uzima dawa mama.
 
Back
Top Bottom