Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakika mkuu

Huyu Heaven Sent acha tusubiri tu kumuona huko huko Heaven kwa Baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmhh hakika hiyo siku jf itasimama aisee
Kwa hakika leo mmeniamulia jamani, mtaniona hapahapa JF. Afu ujue mimi najulikana sana physically, so issue ya picha wala sio big deal
 
Msimamo wangu juu ya usaliti hauwezi kubadilika. Especially mwanaume anapokuacha akiwa asset, anarudi uzeeni akiwa liability afu eti umpokee "mume wangu" aseeeee
Wewe unaamini ile falsa ya mwanamume kwa mwanamke mmoja ni kitu kisichowezekana?
 
Naamini ni kitu kinachowezekana kabisa, ni mtu anaamua tu
Wewe kama mwanamke najua unajua kuna wakati mnakua na dharura, na hio dharura inaweza kudumu hata miezi 6 na kuendelea, unadhani mwenzako ataishi vipi katika situation Kama hio?
 
Kwa hakika leo mmeniamulia jamani, mtaniona hapahapa JF. Afu ujue mimi najulikana sana physically, so issue ya picha wala sio big deal
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Una bahati ya kufahamiana na watu makini sana ambao hawawezi kuvujisha picha zako hata iweje sie wengine tulishakosea njia saa hii picha zetu zishasambazwa huko
 
Back
Top Bottom