Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1613713212015.jpg
 
Kiukweli wakongwe hatuna shida kabisa siunajua utu uzima dawa mama.
Haha id yako ya zamani ni gani! Kwangu member wa 2018 siyo mkongwe wala hata hakaribiani na ukongwe (simaanishi umri wake halisi)!

Tangu najiunga jf huwa nawachukulia members waliojiunga kuanzia 2006 (tangu jf inazaliwa) hadi 2013 ndiyo wakongwe! Kwangu mimi lakini!
 
Back
Top Bottom