T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,490
Hahahahahaha.......mimi huyu nimeze picha/sura ya mtu/mwanamke?Isambaze tu shemeji yangu.ukiichoka uimeze itembee damuni
Vipi kwema lakini mkuu
Hahahahahaha.......mimi huyu nimeze picha/sura ya mtu/mwanamke?Isambaze tu shemeji yangu.ukiichoka uimeze itembee damuni
Sikuona AiseeNdiyo nimekutag.
Mmmmmh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejuaje yani ningeingia kwenye simu nije nikukumbatie
Hata Najua basi mwaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ili iweje sasa.
Vipi Ely unaumwa jinoMmmmmh
Haha...ulijuaje kama kipindi hicho hakuwa na chura mkuu?Kipindi hicho ukiwa huna chura![emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejuaje yani ningeingia kwenye simu nije nikukumbatie
Kipindi hicho ukiwa huna chura![emoji1][emoji1][emoji1]
Vizuri sana kama mambo ni safi kabisa mkuuMambo safi kabisa ELY
Sijui Kwako
Unaonekana ni chibonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku member mkongwe na wa heshima kanichek pm, kaanza kutuma pic zangu, nilichoka skuwahi jua nae kama ananfatilia mie. LolHata Najua basi mwaya
Tangu jana mbnaSikuona Aisee
[emoji120][emoji120]Vizuri sana kama mambo ni safi kabisa mkuu
Kwangu mimi ni poa/salama kabisa mkuu
Hii ndo nzuri sana, iweke bas mommyNilianziaga hapa....View attachment 1708186
Amina[emoji120][emoji120]
AMEN
Niliona tu kanisani mara ahangaike na maua[emoji1787] nikasema kweli harusi imepata mwenyewe[emoji23][emoji119]Lulu alikua ana heka heka, yaan anawapangia watu kwenye magari ya kupanda, kuelekea hotelini. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hadi account ninazo huko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si u install app ya IG?
Ile ya upako ndio mwisho wa matatizo[emoji7]Nilianziaga hapa....View attachment 1708186