cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Jomoneeeh kumekucha huko, dunia tamu hii wallah, ndoa iliyofungwa juzi leo waanza kutupiana vijembe vya mali,
Wakili albeto msando aingilia kati kumueleza lulu kuwa mali za majizzo alizochuma kabla ya ndoa hazimuhusu.
Wapendwa zangu cc na moms nimewatag huko.