Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Mimi naona 2006-2015 ndo wakongwe.Haha id yako ya zamani ni gani! Kwangu member wa 2018 siyo mkongwe wala hata hakaribiani na ukongwe (simaanishi umri wake halisi)!
Tangu najiunga jf huwa nawachukulia members waliojiunga kuanzia 2006 (tangu jf inazaliwa) hadi 2013 ndiyo wakongwe! Kwangu mimi lakini!
Sent using Jamii Forums mobile app


hapana mkuu...

