Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Sasa Bora wewe inawezekana ni za kisasa kidogo.Kama mimiiiiiiiiiii
Mimi zote ni za mvuto,solo,shift.
Sasa Bora wewe inawezekana ni za kisasa kidogo.Kama mimiiiiiiiiiii
😅😅🙌Behaviourist = frog
😅😅😅wakiongozwa na rollyMsouth(Yani...nafikiri mule kuna watu ambao wako spesheli kwa majibu ya kukerana tu😅😅
Kama anaenda galilaya vile😅😅😅Taratibu ndo mwendo😅😅😅
Yaani ukinikuta kanisani ninavyoporomosha pambio la kuabudu na nikichanganya na maombi hapo km hujawahi nishuhudia huko unaweza anza kuogopawe mwache jpili tukasali nitakua namuombea kwa nguvu na yeye anasikia hapo hapo





,subiri tutaonbeana.Mlete na zawadi sasa ili na sisi tuliobaki nyumbani angalau tusafishe nyota


Bora nyamaza hujavuka 28 sura inaonyesha.Hata Sasa mimi Ni mzee na sijawahi kunywa.
Nina 34Bora nyamaza hujavuka 28 sura inaonyesha.
Nisije nikakufuru bureNina 34
Ukufuru tena?Nisije nikakufuru bure
Wewe miss kabisaUkufuru tena?
Sasa hivi naanza kujifunza kupenda lips ya Taifa!😜😜😜Behaviourist = frog
Unaangalalia udogo wa mwili??Wewe miss kabisa
EeeUnaangalalia udogo wa mwili??
hakika ulikua usingizi murua kabisa united kwa Sasa ni Kama masihi wa mpiraBro T 1990 ELY nikuache ulale...
Nimetoka kuchek gemu ya Timu yangu Man U naamin leo me na billdrago tulala vizuri kabisa Timu yetu imeshinda.
uwe na usiku mwema Bro.
Na wanaselfika wote.
Mungu awalinde
Wacha tupate raha maana ni kitambo sanaahakika ulikua usingizi murua kabisa united kwa Sasa ni Kama masihi wa mpira
Eeeeh na mie ntajaribu bas km kweli n vanilla.Vanilla
Hahaha, penyewewazee wa kisasa
Usije ukakata moto tu😁Eeeeh na mie ntajaribu bas km kweli n vanilla.