Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy new year
20210101_173907.jpg
 
hahaha saivi kitambi kwisha nilikua sijawahi ingia aisee usiombe uje ingia ni kuchafu balaa msosi walikua wananiletea lakini kwa ule uchafu hapana aisee it's a bad experience ever, uko greencity ?
Uliweza kula? Mimi naweza nikita nafunga kula siku zote. Vipi ulikaa ngapi[emoji23][emoji23]
 
Habari washkaj zangu niliwamis Sana mwenzenu nilipata majanga sikumaliza mwaka vizuri ndio maana hamkuniona humu la kwa muda nilipata bonge la ajali wazee nikagonga watu bahati mbaya wakafa nimekaa Sana rumande nimetoka juzi mniombee nikae sawa kisaikolojia
Dah...pole sana Bill...na wahanga wengine pia. Hopefully mambo yatakaa sawa soon enough 😐😐
 
Back
Top Bottom