Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
🤣🤣🤣Naona nimuite Behaviourist aje aaseme 😂Wapi panahitaji mabadiliko😅😅
🤣🤣🤣Naona nimuite Behaviourist aje aaseme 😂Wapi panahitaji mabadiliko😅😅
Mkuu msaada wako hapo 😂
Kama mimiiiiiiiiiiihela ya kusuka utaifidia kwenye vitenge.Yaani napenda vitenge mimi na asilimia 90 ya nguo zangu ni vitenge.
Hahaha sijui kiongoziHivi hakuna app inayoweza kuondo kitu kama huo mkono kwenye hio picha????![]()
Asee, pole sanaHapana ila nyama nyingi iliondoka.
Uliovunjika ni mkono hadi leo niko mlemavu,mmoja mrefu mwingine mfupi.
😅😅👏Uko vizuri..
utaishi maisha marefu
Weeee...usiniambie...😂😂😂yan me Mara zote humu huwa nakutana na picha za vyakula kutoka kwa Lizzy, nshawai bahatika kuona mguu wa chakorii na za wale wavaa makofia makubwàa, hata shingo huzion.
Vnginevyo ni ujumbe huo tu.😞😞😞
Twitter kuna majibu mafupi mafupi halafu ni visanga sio vya nchi hii😁😅Hatuwazid nyie...
kuna post moja ya twitter nilicheka sanaa.
Mdada kapost Good morning to all ladies and other gender that betray Jesus
Alichojibiwa sasa 😄 Nikabaki kucheka tu
🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Jehovah...View attachment 1665120
😂😂Ubaya ubayani
Hapana siyo mdudu mkuuNaona mdudu Mkuu.
Heri ya mwaka mpya Bro
Anza wewe.. ...ye atamalizia!🙂Naona nimuite Behaviourist aje aaseme 😂Wapi panahitaji mabadiliko😅😅
Ndiyo mkuuUnakula kichuri eeh!
kabisa yan kama bi kidude
😂😂😂Huwa nabaki kusema bongo siami hata kwa dawa.. sio kwa majibu yaleTwitter kuna majibu mafupi mafupi halafu ni victimizers sio vya nchi hii😁
😂😂😂Mwamba kaanza kujibu kama hajibu vile🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Jehovah...
😁😁bongo sijali
Daah nimeanza kuzeeka ... me kwel ndo wa kushindwa kumtambua mdudu...Hapana siyo mdudu mkuu
Njema/salama kabisa mkuu
Heri ya mwaka mpya na kwako pia
Ngoja nimsaidie kwa leo Mkuu wa kitengo BehaviouristAnza wewe.. ...ye atamalizia!🙂
The English is very the hardYap ni kwema kabisa.
How things go
Hahahaha...nyama ya mbuzi hiyo mkuu.Daah nimeanza kuzeeka ... me kwel ndo wa kushindwa kumtambua mdudu...
Shukran sana Mkuu
