T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Habari za asubuhi ArifuUsije ukakata moto tu![]()
Habari za asubuhi ArifuUsije ukakata moto tu![]()
Haina chura lakini.ni flat shuzi maeneo ya mlima kitongaSasa hivi naanza kujifunza kupenda lips ya Taifa!😜😜😜
UKitaka kusafisha nyota mtakatifu wangu chukua maji ya bomba tia chumvi ya mawe oga.unaassume uko baharini.haya mazawadi zawadi si mazuri hivyoooo...hayasafishi nyota ila yanadumaza nyota😆😆Mlete na zawadi sasa ili na sisi tuliobaki nyumbani angalau tusafishe nyota![]()
Au JerusalemKama anaenda galilaya vile😅😅😅
Yani...ni kisanga😅😅😅wakiongozwa na rollyMsouth(
Madenge)
Hilo chimbo unalikubali sana MkuuHahaha, penyewe
Acha tu wapwa wanatupa sana rahaYani...ni kisanga
WoooozaaaahhYaani ukinikuta kanisani ninavyoporomosha pambio la kuabudu na nikichanganya na maombi hapo km hujawahi nishuhudia huko unaweza anza kuogopa,subiri tutaonbeana.
Nitaruka kichura chura bila kupumzika Dar mpka MoroNina 34
Hata mimi nalikubali.nikienda kipande hiyo najivutia hapoHilo chimbo unalikubali sana Mkuu
KinyamaAcha tu wapwa wanatupa sana raha
Nzuri tu Habari yakoHabari za asubuhi Arifu
Itabidi siku niwalete rainbowHata mimi nalikubali.nikienda kipande hiyo najivutia hapo
Habari yangu njema/salama kabisaNzuri tu Habari yako
Ipo domItabidi siku niwalete rainbow
UKitaka kusafisha nyota mtakatifu wangu chukua maji ya bomba tia chumvi ya mawe oga.unaassume uko baharini.haya mazawadi zawadi si mazuri hivyoooo...hayasafishi nyota ila yanadumaza nyota![]()







Tumshukuru Mungu kwa pamoja ndugu yangu.kuiona siku ukiwa mzima na afya ni utajiri namba mojaHabari ya njema/salama kabisa
Ndiyo pale njia panda ya Area D kwenye zile sheliIpo dom
Sawa jiandae kuruka kichura nakuja na cheti Cha kuzaliwa hapaNitaruka kichura chura bila kupumzika Dar mpka Moro

Umeona sasa..
Ila umeongea ukweli,chumvi ni tiba.