Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
You are losing points Bro 😂The English is very the hard
You are losing points Bro 😂The English is very the hard
Daah kwel Mkuu .. hujaniita Mkuu na tupo wote mwanzaHahahaha...nyama ya mbuzi hiyo mkuu.
Itakuwa unachanganya na kujiaminisha kuwa ni mdudu kupitia hizo nyama nyama zenye mafuta![]()
Hahaha...tatizo lugha mkuu.You are losing points Bro![]()
Hapana sikuwa mwanza/sipo mwanzaDaah kwel Mkuu .. hujaniita Mkuu na tupo wote mwanza
Bariadi hapo tu Mkuu nakuja Asubuhi jion niko Mwanza...Hapana sikuwa mwanza/sipo mwanza
Nipo huku Bariadi-Simiyu kwenye mgodi wa dhahabu Dutwa
Karibu
Kwel Mkuu lugha zenyewe sio zetu tulizijua tuandikie CV tuHahaha...tatizo lugha mkuu.
Nasema uongo ndugu yangu
Akhsante sana mkuu usiku mwema na kwako piaBro T 1990 ELY nikuache ulale...
Nimetoka kuchek gemu ya Timu yangu Man U naamin leo me na billdrago tulala vizuri kabisa Timu yetu imeshinda.
uwe na usiku mwema Bro.
Na wanaselfika wote.
Mungu awalinde
Hahahahaha.... linahbaby nampenda mno.Bariadi hapo tu Mkuu nakuja Asubuhi jion niko Mwanza...
Umeongea swala la Dhahabu kesho uwanja wako huulinah atafufuka kesho
🙌Mfate Pm utatupa mrejesho
shukran kaka🚶Akhsante sana mkuu usiku mwema na kwako pia
Mkuu bahati mbaya me napnda sana rubi kuliko dhahabuBariadi hapo tu Mkuu nakuja Asubuhi jion niko Mwanza...
Umeongea swala la Dhahabu kesho uwanja wako huulinah atafufuka kesho
Nakupnda pia
Ehee ngosha vere vere huwezi aminiThe English is very the hard
Behaviourist = frogNaona nimuite Behaviourist aje aaseme 😂Wapi panahitaji mabadiliko😅😅
Yani...nafikiri mule kuna watu ambao wako spesheli kwa majibu ya kukerana tu😅😅😂😂😂Huwa nabaki kusema bongo siami hata kwa dawa.. sio kwa majibu yale
Taratibu ndo mwendo😅😅😅😂😂😂Mwamba kaanza kujibu kama hajibu vile
Ni mimipigo za wanyaki kabisa hz tena wa tukuyu.unaweza ukawa n ww kweli...?
![]()
Dhahabu lakin si unaipenda kwa mbali kidogo 😂Mkuu bahati mbaya me napnda sana rubi kuliko dhahabu