T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,092
Amina mpendwaTumshukuru Mungu kwa pamoja ndugu yangu.kuiona siku ukiwa mzima na afya ni utajiri namba moja
Amina mpendwaTumshukuru Mungu kwa pamoja ndugu yangu.kuiona siku ukiwa mzima na afya ni utajiri namba moja
Sio mwenyeji sana Dodoma.huwa naendaga tu.kuna ile sehemu upande wa kulia kama hujafika stand ya shabiby sijui ni njia panda ya area D ama nini wanachakula kizuri pia nishawahi kula pale👌🏾Ndiyo pale njia panda ya Area D kwenye zile sheli
Usichelewe sasa na wewe mimi nataka kuanza kukimbia ASAPSawa jiandae kuruka kichura nakuja na cheti Cha kuzaliwa hapa![]()
🧚♀️🧚♀️Amina mpendwa
Shauri yako

Umeona sasa..
Haya fanya usafishe nyota uingie barabarani uone kama nyota haitoonekana









Uchokozi
Babe wako yukwapi
Upo sasa.kwani kuuliza ni kubayaUchokozi
Baby wangu ni weweUpo sasa.kwani kuuliza ni kubaya
😆😆😆😆punguza nyasi kijanaBaby wangu ni wewe
Usichelewe sasa na wewe mimi nataka kuanza kukimbia ASAP




Shida yako si niruke kichura mtakatifu wangu..nitatumia hata ungo kurukia baharini
Ukisharudi dar Mimi naweka.
Zenji hadi dar huwezi kuruka kichura baharini.
Ni maeneo hayo hayo tu ndo lilipo hili chimbo....Sio mwenyeji sana Dodoma.huwa naendaga tu.kuna ile sehemu upande wa kulia kama hujafika stand ya shabiby sijui ni njia panda ya area D ama nini wanachakula kizuri pia nishawahi kula pale👌🏾
Ohooooo...oky vizuriNi maeneo hayo hayo tu ndo lilipo hili chimbo....
😁😁ningependa jpili hii nkukaribishe Ibadan tusali pamoja,🙌🙌🙌Ni mimi
Ukaribie siku paleOhooooo...oky vizuri
Kwa mbali sawaDhahabu lakin si unaipenda kwa mbali kidogo![]()
Jaman ni mods sio me😅😅Wametumia tu Id yangu kumuitaMchokozi wewe ujue