Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,987
Nakuambie, ubinamu kazi basi tu tujikaze tu tuulinde undugu,Nyama choma kbsaaa![]()
Nakuambie, ubinamu kazi basi tu tujikaze tu tuulinde undugu,Nyama choma kbsaaa![]()
We nae jirani...Anza kwanza kukula mwandiko wangu ukishiba utamkula na ndugu mwandishi.no hurry in Africa especially Tanzania 😁Hata wewe jirani yangu nipe nikukule nitafunga mdomo wangu![]()
Sawa tyuuuh
Karibu daktarii
Nipo Dogo, niaje? Shembabe hajambo?Nlkumic dea lol,![]()
Hajambo dea, kesho tupo safarin kuelekea huko kaskazini,Nipo Dogo, niaje? Shembabe hajambo?
Hahahaha dahWe nae jirani...Anza kwanza kukula mwandiko wangu ukishiba utamkula na ndugu mwandishi.no hurry in Africa especially Tanzania![]()
Sio mimi huyo kipenzi changu.nilihack iwa dah!Hahahaha dah
Hahahaha ,hahahaha huyo hacker kibokoSio mimi huyo kipenzi changu.nilihack iwa dah!
Hafai msikitini wala kanisani rafiki yangu kipenziHahahaha ,hahahaha huyo hacker kiboko
Hahahaha haya bana ,Rafiki kipenzi ,mie Nilikua napita tuHafai msikitini wala kanisani rafiki yangu kipenzi
Wee dea kesho me nipo safarini, naenda kaskazini plz maombi yako muhimu kwangu.Hafai msikitini wala kanisani rafiki yangu kipenzi





Ohoooo..kuna usalama lakni kipenziHahahaha haya bana ,Rafiki kipenzi ,mie Nilikua napita tu