Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Unipe sasaNafungu la kumi[emoji847]
Unipe sasaNafungu la kumi[emoji847]
Auntie haya makopo yote unayapaka au mengine unaniletea?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We zitafute tu auntie me sina shida View attachment 1657235
Hahhahah nayapaka sio unaona kuna cantu hizo kwa ajili ya nywele tu si unajua auntie yako niko na natural hairAuntie haya makopo yote unayapaka au mengine unaniletea?
Turudi kwa picha sasa, au basi ngoja ninyamaze handsome gelo wangu[emoji7][emoji7]
Jirani bhana 😁😁Nipe mimi nitakukula na nitakaa kimya muumini wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], wakina nani wambea hivyo muwataje basi tuwaweke kati
Mama Muinjili yote yako hayo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We zitafute tu auntie me sina shida View attachment 1657235
Dressing table imesheheni Bei ya kiwanja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We zitafute tu auntie me sina shida View attachment 1657235
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmeanza hivi mama mchungaji huoni kuna cantu hapo kuna body sprash, body spray na takataka nyingineMama Muinjili yote yako hayo?
Usiogope bwana kawaida tu
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]manukato[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We zitafute tu auntie me sina shida View attachment 1657235
Wewe huusiki kipenzi changu rafikiHahahaha, duh
Njoo nikupulizie kiduchu hahah[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]manukato
TulaleNjoo nikupulizie kiduchu hahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmeanza hivi mama mchungaji huoni kuna cantu hapo kuna body sprash, body spray na takataka nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza ukaanza kulia afu ukiulizwa na watoto, mama unalilia nini unaanza kujichekesha teh
Hahahahaha mama mchungaji niacheMimi nina babycare hiyo napaka mwilini hadi kichwani na ndiyo naitumia kama lip balm pia, labda na makopo yaliyoisha
HayaTulale
Nami napakaa cantu mwilini, niletee tu. Hayo ya nywele baki nayo tu.Hahhahah nayapaka sio unaona kuna cantu hizo kwa ajili ya nywele tu si unajua auntie yako niko na natural hair